Skip to main content

Akudo yaanza kuonesha upya wake


 BENDI ya muziki wa dansi ya Akudo Impact 'Vijana wa Masauti' imeanza safari nyingine katika angaza utoaji wa burudani,ambapo meneja wa bendi hiyo Ramadhani Pesambili amesema huo ni moja ya mikakati  kamambe kuongeza vionjo, mvuto na ubora wa bendi hiyo.



Akizungumza blog hii katika Bonanza la bendi hiyo la kila siku za Jumapili kwenye ukumbi wa Msasani Beach, Ramadhan alisema tayari katika mipango yakuja na utoaji mpya wa burudani ulionza kufanyika hivi karibuni tumebadilisha uongozi.

Alisema Meneja wa bendi hiyo ulimvua madaraka yake aliyekuwa kiongozi wa bendi hiyo awali mwanamuziki Tarsis Masela ambapo mwanamuziki mwingine toka bendi hiyo Zagreb Butamu aliteuliwa na tayari ameonesha kumudu nafasi hiyo.



"Zagreb Butamu ameonesha kupendwa zaidi na wanamuziki wenzake
naamekuwa na maelewano mazuri na wenzake hivyo anaonekana kumudu kwani kiongozi ni muhimu kukubalika kwanza kwa anaowaongoza,"alisema .

Ramadhani alisema kuwa mambo mengi yameisha anza kujenga taswira mpya katika bendi hiyo ambapo  alitaja majina  ya wanamuziki wapya kuwa ni Shella Mama anayepiga gitaa la solo, Chilayert Bamokina (mwimbaji), Dodo, Lightness, Mery na Christine Ngoi aliyejiunga Akudo akitokea kwa kwa mwanamuziki nyota wa Congo Ferre Gola Bataringe maarufu kama Ferre Chair de Poule au Ferre Gola ambapo wete walikuwa jukwaani katika siku hiyo .

Meneja huyo alisema bendi hiyo inaendelea kutambulisha    vibao vipya vitatu viitwavyo'Pinga mauaji ya Albino’, ‘Usikate tamaa’na'Wanawake wanaweza’ambapo tayari vinaonekana kupendwa na mashabiki.

Akudo  miaka awali ndio ndio  bendi ambayo iloiyomtambulisha mwanamuziki mahiri wa dansi Christian Bella wakati ilipotamba na mtindo wa Pekechapecha kabla ya nyota huyo kuhamia kwenye
bendi nyingine ya Malaika .

Katika mkesha wa kuupokea mwaka mpya bendi hiyo imejipanga
kufanya makamuzi yake kama kawaida katika ukumbi wao wa nyumbani Msasani Beach Dar es Salaam.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.