Skip to main content

Posts

Kinana aitembelea familia iliyounguliwa na Nyumba Shinyanga Mjini

Na Anna Nkinda – Maelezo Waumini ya dini ya Kiislam nchini wametakiwa kuwa pamoja katika kuendeleza masuala ya kiimani bila ya kuhitilafiana kwani hititafu ndogo huzaa migogoro katika jamii jambo ambalo linaweza kusababisha kuvurugika kwa amani iliyopo. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete. Wito huo umetolea jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati wa ufunguzi wa msikiti na madrasa wa Masjid Madinatil Munawwar uliopo Kibingu – Msanga Zalala kijiji cha Msimbu wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani. Mama Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) alisema viongozi wa dini wanayo kazi kubwa ya kuwasomesha na kuwaelimisha vijana wa Kiislam katika kumcha Mwenyezi Mungu na kuwaasa juu ya kulinda amani iliyopo kwaajili ya maisha yao na watu wengine. “Naomba niwausie juu ya jambo hili kwani sisi wote ni waislamu ambao tunaongozwa na kitabu kimoja na tunaabudu katika njia moja tusitumie muda mwingi kuwa na marumbano kwenye misik...

DIMPOZ NA USIKU WA KUTOKUKUNJA GOTI ILIVYOJILI

  Siku ya jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya msanii Ommy Dimpoz na birthday party ilifanyika pande za Elements Club.  Wasanii mbalimbali kama Mwana FA, Fid Q, Shaa na Mpenzi wake Master J waliweza kuudhuria na kuumpa company mzee wa Poz kwa Poz siku ya jana.    CLICK OLDER POST KWA HABARI ZAIDI

MBARONI TENA SUGAR NIGHT

 It seems Suge Knight can't stay out of trouble with the law. The former Death Row Records CEO was arrested Wednesday, September 10, just outside of Beverly Hills.  sorce reports that Suge was pulled over for a routine traffic stop when police noticed that he had a warrant out for his arrest for failing to appear in court on a driving with a suspended license charge.

U.S., Russia see Syria arms deal aiding peace talks

U.S. Secretary of State John Kerry (L) sits with U.N. Special Representative Lakhdar Brahimi (C) and Russian Foreign Minister Sergei Lavrov as they each make a statement to the press after a meeting discussing the ongoing problems in Syria. (Reuters) Reuters, Geneva/Beirut Russia and the United States agreed on Friday to push again for an international conference aimed at ending Syria’s civil war as talks on removing chemical weapons raised hopes for broader negotiations. After a further meeting Geneva to discuss Moscow’s plan for securing poison gas stocks in order to avert U.S. air strikes, Russian Foreign Minister Sergei Lavrov and U.S. Secretary of State John Kerry said they would work together to end a conflict that has divided the Middle East and the world’s major powers. They would meet again in about two weeks, around Sept. 28 during the United Nations General Assembly in New York, and hoped progress in Geneva in the coming day on a chemica...

SOMA HII MDAU

Sports Illustrated supermodel Chrissy Teigen just posed for a topless photo shoot with her fiance  John Legend ... and now one of the topless pics has surfaced on the web. But Chrissy ain't mad ... in fact, the person who posted the pic is the photographer -- and right after it hit Tumblr , Chrissy retweeted it and joked, "I figure you can't be suspended from a retweet." The photo appears to be a frame from John's music video for his song, "All Of Me." As of 8:11 AM PT, the photo is still up on Instagram ... but if you wanna see it, you better act fast -- we're guessing it won't be up long.

Taasisi ya WAMA yakabidhi Gari la Wagonjwa Hospitali ya Sokoine Mkoa wa Lindi

Mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) Mama Salma Kikwete akitoa risala fupi wakati wa halfa ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa lililotolewa na Taasisi hiyo kwa hospitali ya Sokoine Mkoa wa Lindi,kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Ludovick Mwananzila na kulia ni Kaimu katibu tawala wa hospitali hiyo Tawani Selemani. Mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) Mama Salma Kikwete akimuonyesha gari la kubebea wagonjwa Mkuu wa Mkoa wa lindi Ludovick Mwananzila lililotolewa na Taasisi hiyo wakati wa alipolikabidhi kwenye hospitali ya Sokoine mkoani hapo. Soma zaidi...

ABASI TARIMBA na MWENYEKITI WA MTAA WA HANANASIFU WAMKACHA ASHA BARAKA ZOEZI LA UBOMOAJI

Mkurugenzi wa bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta', ambaye pia ni Mjumbe wa Nec CCM, Asha Baraka, akiwaka wakati akizungumza na mtandao huu jana jioni alipokuwa akisimamia zoezi la kuwazuia wabomoaji kutobomoa nyumba na vibanda vya wananchi katika eneo hilo la Hanansifu bila kufikia muafaka kwa mazungumzo na wahusika:CHANZO MUHIDIN SUFIAN Soma zaidi...