Lakini kama pia ume m follow Zari na huna time ya kusoma comment pia story hii itakuwa imekupita.
Issue nzima ilikuwa kwa upande wa Zari ambapo siku ya jana alikuwa akifanya kila ajisikiacho kutoa mipasho kwa wanao muita ‘Gold digger’. Katika harakati za kupost picha ndipo alipopost picha iliyomsababisha Diamond Platnumz aaze kusema ya juu ya nyumba yao ya Afrika Kusini.
Moja kwa moja Diamond Platnumz alitupia comment kwenye moja ya picha ya Zari nakuandika “@zarithebosslady Can’t wait for the Launching of our new House in South Africa… I thing we gat to call it Tiffah’s Pallace or Tiffah’s Castle or The Embassy!!!”
Naye Zari akarudi ku comment kwakuandika “”@diamondplatnumz can’t wait my love for the new mansion our cast. The Chibus palace“
Comments