Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua trekta aina Farmtruck kutoka India wakati alipozindua Mradi wa Matrekta ya Kilimo Kwanza unaosimamiwa na JKT SUMA kwenye eneo la kambi ya jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam Oktoba 7, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZRIRI Mkuu,Mizengo Pinda akiendesha trekta aina ya FARMTRUCK kutoka India wakati alipozindua Mradi wa Matrekta ya Kilimo Kwanza unaosimamiwa na SUMA JKT, kwenye eneo la Kambi ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam Oktoba 7, 2010. Kulia ni Balozi wa India nchini,V. Bhagirathi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments