KATIKA hali isiyo ya kawaida kumekuwepo na uvumi juu ya mnajimu maarufu nchini Sheikh Yahya Hussein kuwa amefariki Dunia alasiri ya ijumaa ya jana.
hii ni mara ya pili kutokea kwa tukio la uvumi kama huu ambapo kwa mara ya kwanza ni katika kipindi ambacho mnajimu huyo aliugua na kupelekwa nchini India.
Comments