Bidhaa :
Wafanyabiashara wa matunda na biscut katika mji wa Muheza Mkoa wa Tanga wakijitafutia maisha kwa kuuza bidhaa zao hizo kwa wasafiri wafanyabiashar hao wengi ni watoto wanaostahili kuwa madarasani katika kipindi hiki cha masomo kuliko kujiingiza kwenye biashara ndogondogokama walivyonaswa na Kamera yetu juzi.

Comments