Wazee waliokuwa wafanyakazi wa Jumuia ya Afrika Mashariki wakimsiki askari wa FFU
Wazee hao wakimsikiliza wakili wao nje ya mahakama Kuu huku wakiwa wamekaa chini katika barabara ya Sokoine .
Kikosi cha kuzuia fujo FFU wakiwa tayari kwa kutoa Adhabu kwa watakao kaidi ya kuondoka eneo hilo.
Akina mama hawakuwa nyuma katika kudai mafoa yao ,hapa wakiwa nje ya Mahakama Kuu wakisubiri hatima yao ya Madai.

Comments