KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars,’ Jan Poulsen ,(kutoka kushoto),Meneja Mkuu wa Uhusiano, mawasiliano na Jamii kutoka kampuni ya bia ya Serengeti Dada Teddy Mapunda,Rais wa TFF Leodga Tenga pamoja na Meneja Bidhaa kampuni ya Bia ya Serengeti Dada Nandi Mwiyombela wakiwa katika picha ya pamoja mchana huu mara baada ya uzinduzi.

Comments