Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2010

Kila la Kheri Uchaguzu Ufanyike Kwa Amani Tele

Ni kesho wananchi wa Tanzania watapiga Kura kuchagua Madiwani Wabunge na Rais Kimbe mbe hicho kitareta furaha pale yatakapo tangazwa matokeo.

Ni Ndani ya Groove Back Nite

hhhaaa , Jamani bulaaa

Sasa Mambo ni Kiukweli Too

HUYU ni Kocha wa Zanzibar STEWART HALL bana sasa kuipaishaaa Zanzibar.

A Well-Read Opinion of Kanye West's "Runaway"

By Troy Cle Troy Cle is the creator of The Marvelous Effect , a fantasy book & science fiction series The Marvelous World Saga . After watching Kanye West's "Runaway," he was compelled to write this opinion piece and review. There is a special place where the disaster prone and eternally compelling Kanye West resides. It is a sacred place beyond reproach where passion and genius dwell. It is a place that we have a clear view of but is solemnly guarded by velvet ropes because such is a requirement of celebrity. Agree or disagree, the 33-year-old Chicagoan is known throughout the world and still in the game in a huge way because of talent a tad bit more so than controversy. The video for “Runaway” is a testament to that. Not because it is an epic piece. Not because it is good. Not because it is bad. It is simply because it exits and has been anticipated by much of the music community. West had something he wa...

Huyu Hapa Mgombea Udiwani Kinondoni Kupitia (CUF)

Magari ya Vodacom Shinda Mkoko Hayooo Yawasiri

Bharti Airtel Sasa Kupaa Kimataifa Zaidi

Bharti yatangaza mkakati wa kutoa huduma za kisasa kwa wateja Afrika Kuingia ushirika wa kibiashara na IBM, Tech Mahindra na Spanco kuboresha huduma kwa wateja Lagos, Nigeria – Oktoba 25, 2010 – Kufuatia ukuaji wa biashara barani Afrika na hata kukaribisha ushirikiano wa kibiashara baina ya wadau mbalimbali kwa lengo la kushiriki kuinua uchumi wa nchi mbalimbali, kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Bharti Airtel, imetangaza mpango wa ushirika wa kibiashara na kampuni za kimataifa za IBM, Techno Mahindra pamoja na Spanco ili kutimiza malengo ya kuinua huduma kwa wateja katika nchi za Afrika. Makubaliano haya ambayo yanatarajiwa kukamilishwa hivi karibuni, Bharti Airtel, ambayo kwa sasa inamiliki na kuendesha biashara ya mawasiliano ya simu ya ‘Zain’ katika nchi 16 barani Afrika, itakabidhi makampuni hayo kuendesha vitengo vya huduma kwa wateja ukiwa ni mkakati madhubuti wa kukuza biashara katika eneo lote. Kampuni hii ya mawasiliano ya simu, ambayo kwa sasa ina wateja ta...

Bw, Saidi Apongezwa na Msondo Kwa Kumaliza Kubukua :Chuo Kikuu Huria

KIONGOZI wa bendi ya Msondo ngoma Bw, Saidi mabela (kulia) akimpongeza Bw.Joshuwa Matimo baada ya kuhitimu shaada ya udaktari toka chuo kikuu huria Tanzania wiki iliyopita.

GREGORY ISAACS AFARIKI DUNIA

Gregory Isaacs (59) (pichani), ambaye alikuwa mwanamuziki wa Reggae, amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa ini nchini Uingereza. Mwanamuziki huyu, ambaye alitokea kutamba sana katika miaka ya 80 na 90, atakumbukwa sana kutokana na vibao vyake matata kama vile Nigh Nurse, You are Number 1, n.k. LYRICS: SONG: Night Nurse SINGER: Gregory Isaacs

Bendi ya Twanga Pepeta Ikiwa Mzigoni

Hii ni kazi moja wapo , shughuli ya inshu yao popote pale sasa ni masimulizi mjini. Babake jukwaa limetimia , hapa kazi tuu !!

Slaa Atikisa Kawe

Hapa wanachi wameambiwa washike vichwa ! JANA mchana mgombea urais kupitia chama cha CHADEMA Dr Willbroad Slaa alifanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Kawe jijini Dar eslaam ambapo alimpigia debe Halima James Mdee ambaye anagombea ubunge katika jimbo hilo.Hawa ni baadhi ya wananchi waliohudhulia mkutano huo. wananchi wa kada mbalimbali waliofika kusikiliza kampeni za Chadema Kawe.

DIRA YA MTANZANIA LEO

ONE 8 YAMPELEKA ALLY KIBA CHIKAGO MAREKANI

MSANII Ally kiba anatarajia kwenda nchini marekani na kuungana na wasanii wengine kutoka Africa majina makubwa katika muziki africa kama 2Face: Nigeria , JK: Zambia , Navio: Uganda , Amani: Kenya , Alikiba: Tanzania , 4×4: Ghana , Fally Ipupa: DRC ,na Movaizhaleine: Gabon..

Benjamin wa Mambo Jambo

My friend ... Mwanamke Kama hafikirii maendeleo Mpe talaka uongo jamani? MAENDELEO ni mke ndani ya nyumba vipi kama hafikirii? ikini kituchake toka muda mfupi tu kwenye facebook.

kampeni CHadema Mkoa wa Rukwa

NAIBU katibu kuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (chadema)Taifa Bw Zitto Kabwe akiendesha harambee ya kumchangia fedha za kuweka mawakala wa mgombea ubunge wa jimbo la Sumbawanga mjini Mwalimu Norbart Yamsebo (chadema) ,katiba harambee hiyo zaidi ya shilingi 800,000 zilipatikana huku yeye Kabwe akiuza kwa manadi kombati yake iliyonunuliwa kwa shilingi 200,000 Bw Zitto Kabwe akiendesha harambee ya kumchangia fedha za kuweka mawakala wa mgombea ubunge wa jimbo la Sumbawanga mjini Mwalimu Norbart Yamsebo (chadema) Naibu katibu kuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (chadema)Taifa Bw Zitto Kabwe( kulia) akisaidia kuhesabu fedha zilizochangwa jana katika viwanja vya mkutano wa kapeni vya Sumbawanga mjini wakati wa kampeni zake MAELFU ya wananchi wa jimbo la Sumbawanga mjini mkoani Rukwa wakimsikiliza naiu katibu mkuu Taifa wa Chadema Zitto kabwe wakati akimnadi mgombea ubunge wa jimbo hilo Mwalimu Norbart Yamsebo ( Chadema) katika kampeni zake mk...

Young Guru Speaks On Artist Enslavement and The Future of the Music Game

By AHH Staff Young Guru has been the sound man on some of the biggest records, including numerous Jay-Z records. At the recent seminar in Newark, NJ, which was hosted by Hakim Green of Channel Live fame, Young Guru gave the listeners one to grow on. The cornerstone of his 9-minute diatribe of the recording industry was artist enslavement. The Delaware native, Newark transplant talked about Nas, Def Jam and what the future holds for the “game.” Let the realness begin.Chanzo ni www.allhiphop.com

Simchezo Utanii Kama .... Hatari

Nollywood Diva, Oby Edozieh Launches Cancer Foundation

It was a night of glitz and glamour on Friday, August 27 and Sunday August 29, 2010 as Nollywood diva, Oby Edozieh premiered her high budget movie, “Save Our Souls” and also launched her cancer foundation, Oby Gold Cancer Foundation. The movie premiere and foundation launch was host to the high and mighty with eminent Nigerians like the first lady, Mrs Dame Jonathan who was represented by the Honorable Minister of Women Affairs, Mrs Josephine Anenih; the Honorable Minister of Health, Prof C O Onyebuchi Chukwu; the erstwhile Governor of the Central Bank of Nigeria, Prof. Charles Soludo and senator Iyabo Obasanjo-Bello, at the event and celebrities like Lilian Bach, Ronke Oshodi, Enebeli Elebuwa, Kenneth Okonkwo, Emeka Enyiocha and a host of others storming the Abuja venue. The Lagos edition which held at the Oriental Hotels, Lekki was also star-studded as Nollywood actors thronged the venue to celebrate one of theirs; roll call at the premiere includes Okey Bakassi, who was also the MC,...

Akon: Back to Basics

By Elle Castro After a much-needed break from the spotlight, R&B crooner Akon is stepping back into the lab to crank out a new album. Due out early 2011, Stadium , will infuse the various experiences that the Senegalese singer took in as he toured around the world over the last few years, especially focusing on his performance at the World Cup earlier this year in South Africa. When he wasn't rocking the stage in Europe, Asia or Africa, the international pop star had his corporate hat on as the CEO and president of Kon Live Distribution making sure that his multi-platinum artist Lady Gaga remained on top of the charts. Now, as he readies the release of Stadium and with the success of Gaga, Akon chops it up with AllHipHop.com about life beyond his artistry as a businessman, philanthropist and the various changes that he’s made within his camp. AllHipHop.com : What can we expect from your new album? The sound? Features? Production? Akon : I am very excited about ...

Tegete Nyota Inayoendelea Kushaini

NYOTA wa Yanga Tegete akipewa mijisenti baada ya pambano kati ya watani wa jadi kati ya Simba na Yanga kumalizika uku mchezaji huyo akiwa amefunga goli pekee lililo izamisha Simba katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Wafanyabiashara Muheza Mkoa wa TangaWakijitafutia Maisha kwa kuuza Bidhaa

Bidhaa : Wafanyabiashara wa matunda na biscut katika mji wa Muheza Mkoa wa Tanga wakijitafutia maisha kwa kuuza bidhaa zao hizo kwa wasafiri wafanyabiashar hao wengi ni watoto wanaostahili kuwa madarasani katika kipindi hiki cha masomo kuliko kujiingiza kwenye biashara ndogondogokama walivyonaswa na Kamera yetu juzi.

WAZEE WA AFRIKA MASHARIKI WALALA BARABARANI KUDAI MALIPO YAO

Wazee waliokuwa wafanyakazi wa Jumuia ya Afrika Mashariki wakimsiki askari wa FFU Wazee hao wakimsikiliza wakili wao nje ya mahakama Kuu huku wakiwa wamekaa chini katika barabara ya Sokoine . Kikosi cha kuzuia fujo FFU wakiwa tayari kwa kutoa Adhabu kwa watakao kaidi ya kuondoka eneo hilo. Akina mama hawakuwa nyuma katika kudai mafoa yao ,hapa wakiwa nje ya Mahakama Kuu wakisubiri hatima yao ya Madai.

Why Vote?

By Davey D If you live in California, today Monday (Oct 18 2010) will be your last day to register to vote. You can do that by going here.. http://www.sos.ca.gov/elections/elections_vr.htm For many, with a messed up economy, unmet expectations and seemingly out of touch and unresponsive politicians, this has been a pretty dismal year in terms of choices for some of the state’s major offices. For many of us who’ve been out of work or underemployed and have had to endure watching bailed out banks smashing hard, its real easy to say none of this matters. And on many levels maybe it doesn’t, until its your public assistant dollars, unemployment benefits or government job gets cut to the tune of 45 thousand. This is being pushed by g...

WAANGALIZI WA UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2010

WAANGALIZI wa masuala ya uchaguzi kutoka nchi wanachama wa Ushirikiano wa Kimaendeleo kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wamevitaka VYAMA na wanasiasa wanao wanaia nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao kuwa washindani badala ya maadui kama ilivyo sasa. Nchi wanachama wa SADC zimetuma ujumbe wa wawakilishi 60 kutoka mataifa mbalimbali, ili kuja Tanzania kuangalia mwenendo wa shughuli nzima ya uchaguzi na kutoa ripoti ya utekelezaji wa demokrasia, ikiwa ni kuitikia mwaliko wa Rais Jakaya Kikwete. Akiongea wakati wa utambulisho rasmi wa ujumbe huo, Dar es Salaam leo, Katibu Mkuu wa SADC Dr. Tomaz Salomao alisema katika nchi za Kidemokrasia ushindani kati ya chama na chama haupaswi kuwa wa chuki na uadui bali ushindani wenye lengo moja la kuleta maendeleo kwa wapiga kura. Alisema katika mazingira ya sasa wanasiasa na vyama vyao wanatakiwa kuwa na uvumilivu wa kisiasa wa kiwango cha juu, huku wakieshimu misingi iliyowekwa na utawala wa sheria. "Tunajua ni wakati wa joto k...

Flava Nite

Hayati MWL.J.K.NYRERE

Julius K. Nyerere Commemoration, Inc. Presents The 3rd Annual Celebration in Remembrance of The Life and Work of Theme: Fighting Poverty, Ignorance and Disease 1922-1999 YOU ARE INVITED! WHERE: Howard University Hospital Towers Auditorium 2041 Georgia Avenue, NW (in Rear of building, by 5 th St. ambulatory services entrance), Washington, DC 20004 Featuring music/drumming by Ngoma Na Rafiki Fashion Show by Tanzania Mitindo House WHEN: Saturday, October 16, 2010, 5:00 – 8:00 pm (D inner by Caroline’s kitchen, $15.00/sliding scale) FOR MORE INFORMATION and to RSVP, Contact Rick Tingling-Clemmons, 202.388.1111 Produced by MIRICO Unlimited, 4614 Central Avenue, NE; Washington, DC 20019; 202.388.1111 & Ukimwi Orphans Assistance, 301.277.7638.

Wadau wa Msondo Kukutana Kesho Amana

Uongozi wa bendi ya Msondo ngoma kesho itakutana na wapenzi wa bendi hiyo kujadili mustakabali wa bendi hiyo wapi ilipo inapokwenda na kuelekea mwaka 2011 kikao hicho kitakachofanyika katika ukumbi wa Amana Ilala Dar es salaam kitawakutanisha MASENETA akiwemo Juma KIhenge Nasimu Limila Masuod Nassoro Mzee wa Magorofani na wengine wengi ukiwa kama mdau na mpenzi wa bendi hiyo unatakiwa kufika bila kukosa ukipata habari hii mtaarifu na mwenzako

Chama cha Mapinduzi (CCM) Cha Endelea na Kampeni Mbinga

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mtoto mlemavu Maria Chiwinga muda mfupi baada ya kuwasili mjini Mbinga jana ambapo aliwahitubia wananchi katika mkutano mkubwa wa kampeni.Dr.Kikwete aliahidi kumpatia mlemavu huyo msaada ili aweze kuendelea vyema na masomo yake. Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi mgombea ubunge jimbo la Peramiho Jenister Mhagama wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata mpya ya Mtyangimbole, jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma jana mchana(picha na Freddy Maro)