MTANGAZAJI AMBAYE KWA SASA NI GUMUZO NCHINI KUPITIA MAWIMBI YA CLOUDS FM ZAMARADI MKETEMA AKIMKABIZI MSHINDI WA PIKIPIKI FUNGUO
CLOUDS FM kwa kushirikiana na STEPS ENTERTAINMENT kupitia kipindi cha MOVIE LEO ambacho uendeshwa katika kipindi cha Leo Tena. Leo saa nane mchana mshindi huyo amekabidhiwa zawadi ya pikipiki yenye thamani ya shilingi laki saba na nusu (750.000) ambayo imetolewa na kampuni ya KISHEN ENTERPRISES ya jijini Dar es Salaam.“Draw hii ilianza rasmi siku ya tarehe tano January mwaka huu ambapo mara ya mwisho ilichezeshwa miezi miwili iliyopita.
Comments