Bodo timu ya Simba (Wekundu wa Msimba ziiiiiiiiii) wanaendeleza vichapo , kwenye mechi zinazoendelea
za Ligi Kuu ya Vodocom.
Simba iliwanyamazisha Manyema kwa kichapo cha mabao
2-0 kwenye uwamja wa Uhuru Dar es Salaam jumamosi iliyopita ambapo maboao ya Simba yalipatikana kwa mikwaju ya penalti uku mchezo ukiwa umetawaliwa na
ubabe wa ainaflani.
Dkika ya 17 bao la kwanza la Simba liliweka kimyani na Hillary Echesse kwa mkwaju wa penalti baada ya Danny
Mrwanda kufanyiwa madhambi ndani ya eneo la hatari.
Haruna Moshi alipewa kadi nyekundu lakini Simba ilionekana kama vile awana upungufu waliendelea kutawala mchezo.
Dkika 51 ilikuwa kumbukumbu kwani Himidi Mao aliunawa mpira na Simba kupachika bao la pili kwa mpira wa penalti
uliopigwa na Danny Mrwanda , hata hivyo kitendo cha Haruna kupewa kadi kilionesha kusononeka kwa kocha
Partrick Phiri.

Comments