VIONGOZI na wanachama na wapenzi wa klabu ya Simba wamekuwa na imani kubwa ya kutwaa ubingwa huo kutokana na usajili wao pamoja na imani waliyokuwa nayo kwa kocha wao katika utendaji wake.
Kocha Phiri aliwahi kuifundisha Simba mwaka 2004 na kufanikiwa kuipa ubingwa kabla ya kutimua kwao kutokana na matatizo ya mbali mbali wakati huo.
Kikosi cha Timu ya Simba pichani juu , kikifanya mazoezi.
Comments