Rekodi ya Phiri kwa Simba ilizidi kupanda baada ya msimu uliopita alipochukua timu katika mzunguko wa pili ikiwa katika hali mbaya lakini alifanikiwa kuipandisha na kumaliza ligi hiyo ikiwa katika nafasi ya pili.
WEKUNDU wa Msimba ndio timu ya kwanza kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara ilipoanzishwa mwaka 1965 na 1966 ikiwa inajulikana kama Sunderland na ilipobadilishw ana kuitwa Simba ilitwaa katika miaka ya 1972, 1973, 1976.1977,1978,1979, 1980, 1993, 1994, 1995, 2001, 2002, 2004, 2007.
Kwa sasa simba inagawa Vichapo kwa timu pinza za Ligi Kuu Tanzania bara hadi sasa ni timu pekee ambayo aija droo wala kupoteza mchezo , tukae tusubiri Vichapo vinavyogawiwana toka kwa wekundu hao wa msimbazi vitakuwa vya kudumu msimu huu?Pichani ni Bechi la Ufundi Pamoja na wachezaji wa wekundu hao.
Comments