Tarehe ya Sherehe yangu ni kila mwaka tarehe 9 mwezi wa 7.
Ni Mzaliwa Dar es salaam na nimekulia Manzese Midizini,Ni mtoto wa mwisho kwa Mr&Mrs Raphaeli Uliza,Jina halisi ni Valeriani Raphaeli Uliza na pacha wangu ni Vallence Raphaeli Uliza.
Ni msanii wa mwisho kufanya featuring na Marehemu Vivian Intilia aliyekuwa mtangazaji wa Clauds fm nyimbo iliyokwenda kwa jina la Nipe raha 2004 Baadae nikaamua kuachana na Music na kuamua kufanya mambo mengine hasa baada ya kupata mtoto wa kwanza akili ikachenji kabisa ni kawa Baba so ikabidi ni step out.
2006 nikaamua kwenda Mwanza na Kufungua Recording Label iliyokwenda kwa jina la KWETU RECORDS na aikudumu sana sababu nilikuwa msafiri so sikuwa na mtu wa kusimamia.
Mimi mwenyewe ni mmoja waanzilishi wa WAZEE WA KAZI ambayo ndani yake ninapatikana mimi Mauchafu,King Kimbeho,Pizzo,Nay,Jicho,Major,Dark side Project,Roja Mjeshi.
MAUCHAFU ENTERTAINMET ni kampuni inayomilikiwa na mimi mwenyewe kama meneja muanzilishi na mmiliki ila ina Blanch na Management mbali mbali,Tunausika na ARTIST PROMOTION AND MANAGEMENT sio wa Music tu bali hata waigizaji wa Film.
Makao makuu ya Kampuni hii Helsinki Finland na ina Matawi nchi 16 za Ulaya.
Wasanii wanaotangulia kwa sasa ni Hakeem 5(Namashaka ambayo Albam iyo ina nyimbo 8) pamoja Nay wa Mitego(Wa Mitego albam ambayo ina nyimbo 10).
Kwa sasa niko nje ya nchi ila shughuli zinaendelea kama kawaida chini ya Management ya Abeli Ambaye ni Menager wao wakati mimi sipo.
Albam yangu mimi kama mimi itaingia sokonoi mwakani na itakwenda kwa jina la (Uhamishoni) na itakuwa nyimbo 16 na Kitabu chake. Amemaliza kama nawe wataka kusomeka kwenye blog hii usiiiiiiiiiiiite chango nami kupitia barua pepe machibya07@gmail.com

Comments