Simba iliwatema wachezaji wake Moses Godwin, Ramadhani Wasso, Nasor Said, Amani Simba na Orji Obinna kutokana na sababu mbalimbali.
Katika kuziba mapengo ya wachezaji waliochWa na kuongeza nguvu klabu hiyo iliwarudisha
wachezaji wake Juma Kaseja aliyesajiliwa Yanga msimu uliopita, Danny Mrwanda aliyekuwa
anacheza soka Kuwait.
Comments