Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) mwanzoni mwa wiki hii , liliwapiga chini waamuzi wanne . TFF kupitia Kamati yake imewaondoa katika kuchezesha mashindano yake ya Ligi Kuu waamuzi, Peter Mujaya, Athumani lazi, Othman Kazi, Hassan Zani huku Amon Paul na wenzake wakipewa onyo kali.
Katika taarifa yake, Kamati ya mashindano ilisema kuwa waamuzi walishindwa kumudu mechi zao pamoja na kushindwea kuzitafasiri sheria 17 zinazolinda soka.
Ni wazi kuwa TFF imefanya jambo la msingi kwani hili pekee litawezesha waamuzi kufanya kazi zao kwa ufasaha, kufanya kazi zao kwa umakini pamoja na kufuata sheria, kanuni na taratibu za ligi.
Inasikitisha kuwa , mechi nne tu waamuzi hao na wasaidizi wao wamekiona cha mtema kuni kwa kanunu za TFF, safari hii si mchezo! Hatua hii iatoataswira itakayosaidia kudumisha nidhamu katika ligi hiyo.

Comments