Skip to main content
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ILIYOTOLEWA NA MONDAY LIKWEPA MWENYEKITI WA CHAMIJADA UKUMBI WA MAKUMBUSHO VA TAIFA
TAREHE 18/09/2009
Ndg,
Waandishi wa habari,
Leo nimewaomba kuzungumza nanyi kwa lengo la kuwaomba mtufikishie ujumbe wetu kwa Watanzania~
y ;vvv /~..-tU-/l
Chamijada tumejiwekea utaratibu wa kuandaa Tamasha na Shindano kwa lengo la kukumbuka Kifo cha Mwasisi wa Taifa letu, Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere .
Tamasha hili ni la saba mfululizo tangu 2002 ambalo tunamkubuka Hayati Mwalimu Nyerere akiwa ametoka kwa takribani miaka 10.
Chamijada tumejiwekea utaratibu wa kualika viongozi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kitaifa kama ifuatavyo:-
• 2001 - Bw. Salva Rweyemamu ambaye kwa sa sa ni Mkurugenzi wa
Habari Ikulu, katika Ufunguzi huu katika Viwanja vya Garden Temeke, aliwakilishwa na Hafidhi aliyekuwa Mhariri wa Gazeti la The African.
• 2002 - Bw. Joseph Butiku - Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyewakilishwa na Bw. Garus Abeid.
• 2005 - Mzee Selemani Kitwala (Marehemu) mmoja wa Waasisi 17 wa Chama cha TANU 1954 akiwa wa namba 13.
• 21/09/06- Mhe. Mzee Ali Hassan Mwinyi - Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili.
• 14/10/06- Profesa Herman Mwamsoko - Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni, alikisaidiwa na Dr. Morbert Kayombo Mkurugenzi Makumbusho ya Taifa.
• 2007 - Dr. Paul Msemwa Mkurugenzi Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni.
• 2008 - Bw. Ramadhani H. Halfan - Mkurugenzi Biashara ya Nje aliyewakilishwa na Bw. Samuel MVingira - Mkurugenzi wa Utafiti (BET).

• 25/11/08 - Mhe. Joel Nkaya Bendera ( Mbunge) Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo.
Na mwaka 2009 ninayofuraha kuwatangazia- kuwa tumepata bahati ya kukubali ombi letu siku ya jumamosi tarehe 26/09/2009, Mhe. Mama Salma Jakaya Kikwete atafungua rasmi Tamasha letu na kuendelea na Shindano letu hadi fainali tarehe 10/10/2009; na washindi mbalimbali kusafiri hadi Butiama kwa ajili ya kuidhinisha Tamasha la kumbukizi ya miaka 10 ya Kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu J.K Nyerere .
Aidha siku ya Ufunguzi Chamijada inategemea kupokea wageni mbalimbali akiwemo Mama Kingunge Ngombare Mwiru, Dr. Anna Claud Senkoro aliyepata kuwania Urais kwa tiketi ya TPP - Maendeleo.
Tunawaomba Wahisani, Wafadhiri na Wadhamini mbalimbali kuisaidia Chamijada kufanikisha jambo hili muhimu kwa historia ya Taifa.
Mchezo wa Bao ndio Mchezo wa Kizalendo ulio na Vilabu vingi kuliko Mchezo mwingine wowote ukifuatiwa kwa mbali na Mchezo wa Mpira wa Miguu.
Tumuenzi Baba wa Taifa kwa kuukuza Mchezo wa Bao kufikia kuwa Mchezo wa Kitaifa na alama ya Taifa letu, Tukumbuke wosia wake alisema" Msiuache Mchezo wa Bao Ukafa ni Utamaduni wetu'~

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.