Kushoto ni mkali wa milazo Dj Mackay pembene akitete jambo na mwanadada Kemmy Mtahaba
usiku wakati mangoma yakiendelea kukita katika ukumbi huo unaopata mashabiki wengi wa mziki kwenye siku za jumamosi kutokana na umahiri wa Dj Bonny Luv ama(Mjomba),
ambapo enzi za miaka ileeeeeeeeee ua inajirudia , kwani Luv na Mackay watatesa ilele ni soooo
katika jiji la maraha Dar kwa siku hizoza mwishowa wiki , disko hilo uratibiwa na Dj Venture ndiye msemaji kwa vyombo vya habari sehemu yoyote kuhusu disko hilo.
Comments