Anza kusima kitu iki jamaa kadodosa hivi tarehe yake ya kusherekea siku ys kuzaliwa ni kila mwaka tarehe 9 mwezi wa 7.Ni Mzaliwa Dar es salaam na nimekulia Manzese Midizini,Ni mtoto wa mwisho kwa Mr&Mrs Raphaeli Uliza , Jina halisi ni Valeriani Raphaeli Uliza na pacha wangu ni Vallence Raphaeli Uliza.
Ni msanii wa mwisho kufanya featuring na Marehemu Vivian Intilia aliyekuwa mtangazaji wa Clauds FM nyimbo iliyokwenda kwa jina la 'Nipe raha' 2004. Chabo tena kesho Blogu hii jamaa atatililika inshu teleeeeeeeeee zilizo fasaha kuhusu muziki wake.
Comments