MTAYALISHAJI wa muziki kwenye studio maarufu nchini iitwayo 'Sai Records'amewataka wadau wa muziki nchini na hasa watayalishaji wa muziki studio kuwa na ushirikiano mkubwa , ushirikiano utakao wezesha mambo katika sekta hiyo ya muziki kuzidi kupata mafanikio.
Anasema yeye anamuda mrefu kwenye sekta hiyo ya muziki , anasema alianza kazi hiyo ya utayalishaji wa muziki studio akitokea kwenye fani ya u Dj , baada ya kuvutiwana kaka yake aitwaye Salavai Rashid 'Sroi'.

Sei katika hatua zake za kuelekea kuwa mtayalishaji muziki awali akiwa bado kwenye
u Dj ,anasema alipiga disko kwenye kumbi kama Vatcani ,Mbezi Garden nk.
Anasema baadaye alijikuta kuwa na urafiki wa karibu sana na mtayalishaji wa muziki aitwaye kameta ambaye ni mtu mmoja wa muhimusana katika fani ya utngenezaji wa muzikistudio.
Aidha , anasema akiwa katika stdudio ya AK Production alianza kurekodi nyimbo mbili, wimbo wa kwanza kurekodiwa na Kameta ulijulikana kwa jina la 'Wewe tu' na wimbo wa pili ulijulikana kwa jina la 'Hii Part'.

Kwa ujumla ukimwangalia mtayalishaji huyu unaweza kujua sasa kuwa katika masuala ya muziki yeye ni mudau mkubwa na ndio maana ameweza kusema kuwa anachokiona tangu ajihusishe na sekta hiyo ya muziki anasema kuwa , kumeshindikana kabisa kwa wao watayalishaji wa muziki hapa nchini kuupata muziki halisi utakao weza kututambulisha nchi za nje.
"Tumekosa mshikamano kwa sisi watayalishaji wa muziki ndio maana hadi sasa miaka inaendelea kuyoyoma bila kuwa na muziki wetu kama ilivyo katika nchi za Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo na nchi kama Afrika kusini ambayoinafahamika kwa umaarufu katika anga za muzikikwa aina ya muziki wao wa Kwaito, hisitoshe nchi hizo zinafaamika sana kupitia aina ya miziki yao nchi hizo."
Amesema njia iliyopo kwa sasa ni kuwa na mshikamano kwa watayalishaji wa muziki kuwepo kwa mshikamano wa kitaifa ambapo wataweza kukutana na kupambanua nini kifanyike kupata jibu ambao ni gumu kupatikana bila kuwa na ushirikiano huo.
Alisema muziki wa kizazikipya ambao unaitwa Bongofleva unategemea mapitia mengi ya muziki wa kigeni hususani kwenye mapigo ya wasanii wa Ugaibuni na kwa sababu hiyo tunakosa muziki wakufanya uhalisia wetu Watanzania.
Sai mabye alianza hatua ya kuibuka kwake mpaka sasa kuja kuwa mtu muhimu sana katika sekta ya muziki nchini baada ya kuanza hatua katika masuala hayo kwa kupewa sapoti na Baba yakeambaye kwa sasa ni Marehemu mzee Rashid , kwa kununuliwa baadhi ya fifaa kama Compyuta pampja na kupewa sapoti nyingine mbali mbali zilizomuwezesha kufikia hatua nyingine ya kufanikisha shuhuliya muziki.
Akizungumza kwenye studio yake hiyo jijini Dar es Salaam, alisema amesoma katika shule ya msingi Ananasifu jijini hapa na Sekondari amesoma kwenye Sekondari ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro kidatocha kwanza mpaka cha nne, hadi sasa vibao vyake alivyovitengenezakama 'Storudi'.
Ambao ni wimbo wa msanii Q -Jay akiwa amemshirikisha Joh Makini na ule uitwao 'Unijui' toka kwa msanii Makamua akiwa amemshirikisha Ambene Yesaye 'AY',ndivyo vinavyo fanya vizuri katika redio hapa nchini, pia alisha fanya albamu pee aliyoikamilisha katika studio ya Sai Recodrs inajulikana kwa jina la 'Jazz Africano'.
Comments