Skip to main content

Leo Msanii Mjomba Mpoto amekamua vya kutosha Mnazi Mmoja Kwenye Wiki ya Nenda Salaama.


Msanii anayefanya muziki wa Mashahiri jukwaani ,Mjomba Mpoto ametikisa viwanja vya ,
Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam , akiimba na bendi yake Mpya inayoitwa 'Mjomba Bendi'
inayowakilishwa na jumla ya waimbaji 12 jukwaani , anekemea Uzembe wa Madereva Barabarani , wimbo aliouimba unaitwa 'Epuka mwendokasi kabla haujatuua' ambapo ndio kauri mbiu ya Wiki ya nenda Salaama kwa mwaka huu. Kwa mujibu wa Meneja wa Bendi hiyo Kelvin Ayoub ambaye ni mfanya kazi wa Kampuni ya (World Bank ), akiwa kwenye kitengo cha IT
amesema viwanjani hapo kuwa kwa sasa bendi hiyo inajipanga ilikuja na nyimbo zitakazokuwa
kwenye ujio wao wa albamu hapo baadaye , ambapo ametaja baadhi ya majina ya ya wanamuziki katika bendi hiyo kuwa ni Ismail ,Nuruel Mbowe Mery ambaye alikuwa Bomgo Star Seach
mwaka jana na Mpoti mwenyewe.Akasema nyimbo zilizoibwa leo mbele ya mgeni rasimi
Mh Mkuu wa Wilaya ya Ilala Evans Barama zimefanyiwa mazoezi kwa takribani siku nne tu, naakaipongeza bendi yake hiyo kwa kuimba freshi hii leo.

Comments

Anonymous said…
Mjomba anatisha kaka anafunika bovu
Anonymous said…
alifunika mbaya siku ya J/Tatu kwenye viwanja vya mnazi mmoja

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

LEO NI BUNGE LA BAJETI

Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo. -WANANCHI WATAKA IPUNGUZE UKALI WA MAISHA MACHO na masikio ya mamilioni ya Watanzania na wadau wa nje, leo yanaelekezwa Dodoma ambako Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2011/12 itasomwa.Wananchi wengi wamekuwa na shauku ya kujua mwelekeo wa bajeti hiyo hasa katika kipindi hiki ambacho wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha iliyotokana na kupanda kwa bei vyakula na bidhaa za mafuta. Kwa takriban wiki nzima iliyopita, baadhi ya wananchi wamekuwa wakituma ujumbe mfupi wa maandishi kwa simu katika vyombo vya habari, wakiisihi serikali kuhakikisha kuwa bajeti ya mwaka huu inawaondoa katika hali ngumu ya maisha. Bajeti hiyo itakayosomwa bungeni na Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo itatangazwa kwa wakati mmoja na bajeti za serikali za nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), katika mtazamo wa kuimarisha mshimakano na umoja wa nchi hizo. Kwa kawaida na mazoea ya muda mrefu, baj