Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe
Magufuli anaendelea kufanya mikutano ya kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu
utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Magufuli amefanya kampeni katika Uwanja wa Biafra wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Comments