Kocha wa Chelsea Jose Mourinho hatafukuzwa pamoja na kuwa na matokeo mabaya.
Wachezaji wa Mourinho walipoteza mechi ya nne ya msimu dhidi ya Southampton.
Mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich amechukizwa na kile anachokiona.
Mourinho ameomba kuondoka endapo kama wachezaji wake wataendelea kupoteza matumaini naye
Comments