Mshambuliaji wa nyota wa Manchester United Anthony Martial ameshinda tuzo ya
Mchezaji bora wa Mwezi ya PFA kwa mwezi wa Agosti/Septemba baada ya
kucheza vizuri.
Kinda, 19, ambayea amekuwa mchezaji mdogo agahli duniani baada ya
kusaini United kutoka Monaco kwa pauni milioni 36 msimu huu, akifunga
magoli matatu katika mechi mbili za Ligi Kuu, na kuwa nyota wa mechi
katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Sunderland.
Mshambuliaji wa Leicester City Riyad Mahrez na winga wa West Ham
Dimitri Payet pia walitajwa, lakini walikosa kwa staa huyo wa Red
Devils.
Comments