
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Rais Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha
mchungaji Christopher Mtikila aliyefariki siku ya Jumapili kwa ajali ya
gari mkoani Morogoro.
Mtikila alikuwa mwenyekiti wa chama cha siasa cha Democratic Party
Comments