Skip to main content

Venture Afunga pingu za Maisha

Dj Venture amefunga pingu za maishaa jana Jijini Dar es Salaam na Bibie Berna na kufwatiwa na sherehe ya nguvu iliyofanyika kwnye hoteli ya kimataifa ya Hyatt Regency Zamani Kilimanjaro Hotel Kempinsky.Picha zimetolewa na Ahmed Michuzi.

Comments