Katibu wa NEC, Itikati na Uenezi CCM, Nape Nnauye akimvalisha kofia yake ya pama, mfanyabiashara katika Soko la Igunga, Joseph Kashinde baada ya mfanyabiashara huyo mwenye bendera ya CHADEMA kwenye banda lake la biashara (pichani) kuomba kuvaa kofia hiyo, Nape alipita katika soko hilo na kuzongwa kwa furaha na wafanyabiashara katika soko hilo
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (aliyevaa pama) akizungukwa na wafanyabiashara katika soko la Igunga baada ya kupita karibu na soko hilo, akiwa katika matembezi yake ya kawaida katika mji wa Igunga mkoani Tabora jana

Comments