Stars imeshinda mechi moja nyumbani dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa mabao 2-1 katika pambano lililopigwa jijini Dar es Salaam, ilitoka sare ya bao 1-1 na Algeria, vile vile Stars ilifungwa bao 1-0 na Morocco kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, pia jana Stars ili toaka sare ya bao 1-1 dhidi ya Algeria mfungaji akiwa ni Mbwana Samata .
Samata aliyefanikiwa kujitengenezea namba ya kudumu kwenye kikosi cha Mazembe na wiki iliyopita alifunga bao kwenye ligi ya Congo na kuisaidia timu yake ya TP Mazembe kushinda 3-1 dhidi ya Don Bosco.
Upande wa ulinzi ulitegemewa kuwa chini ya Costa 'nyumba' aliyerejea nchini na kuonyesha mabadiliko makubwa kwenye ngome ya Simba kwani tangu alipoanza kucheza haijaruhusu bao lolote hata hivyo katika mpambano huo jana akucheza.

Comments