Skip to main content

Algeria yaishusha Tanzania viwango vya Fifa




GENEVA, Uswisi
TANZANIA imeshuka kwa nafasi moja katika viwango vipya vya Shirikisho la Soka Duniani FIFA, ambapo imetoka nafasi ya 125 mpaka 126.Mwezi uliopita Tanzania ilipanda kwa nafasi mbili kutoka nafasi ya 127 iliyokuwa ikishikilia mwezi Julai mpaka nafasi ya 125.Kwa mujibu wa Fifa, Tanzania imeshuka kwa viwango hivyo kwa nafasi moja baada ya kushindwa kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani na kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Algeria katika mechi ya kufuzu kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika mwanzoni mwa mwezi huu.

Uganda ambayo inaongoza katika viwango vya Fifa katika Ukanda wa Ukanda wa Afrika Mashariki yenyewe vilevile imeshuka kwa nafasi mbili kutoka nafasi ya 80 mpaka 82.

Kenya yenyewe imepanda kwa nafasi tatu kutoka nafasi ya 133 mpaka 130, wakati Burundi imepanda kwa nafasi tano kutoka nafasi ya 145 mpaka 140 na Rwanda inashika nafasi ya mwisho katika Ukanda huu baada ya kushuka kwa nafasi nne kutoka nafasi ya 138 mpaka nafasi ya 142.

Tanzania inatarajia kucheza mechi ya mwisho ya kufuzu kushiriki fainali za mataifa dhidi ya Morocco hapo Oktoba 9 mjini Casablanca.Katika viwango vya Fifa, Morocco inaonekana imepanda kwa nafasi mbili kutoka nafasi ya 61 mpaka nafasi ya 59.

Nchi ya Afrika inayoongoza katika viwango hivyo vya Fifa ni Ivory Coast ambayo ipo katika nafasi ya 16 ikifuatiwa na Misri ambayo ipo katika nafasi ya 36, Ghana ipo katika nafasi ya 37, Burkina Faso ipo katika nafasi ya 41 na Senegal ipo katika nafasi ya 42.

Mabingwa wa dunia Hispania wameendelea kuongoza viwango hivyo vya Fifa ikiwa katika nafasi ya kwanza, ikifuatiwa na Uholanzi, Ujerumani, Uruguay na Ureno.Nchi inayoshika mkia katika viwango hivyo vipya vya Fifa ni San Marino ambayo inashika nafasi ya 203.

Februari 1995, Tanzania ilishika nafasi ya 65 katika viwango vya Fifa, hicho ndiyo kiwango cha juu Tanzania kuwahi kushika katika viwango vya FIFA na kiwango cha chini kabisa Tanzania ilishika nafasi ya 175 mwezi Oktoba 2005.Mwezi Januari mwaka huu Tanzania ilikuwa nafasi ya 120, Februari 12 .Chanzo ni mwananchi.co.tz

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Poland’s GROM special services mastermind found dead

Brigadier General Slawomir Petelicki, responsible for the formation of the GROM special services unit in the 1990s, was found dead at his apartment, Saturday, with bullet wounds to the head. Sławomir Petelicki, 1946-2012. Photo: Archive/PAP/Radek Pietruszka Police spokesman Maciej Karczynski informed that Petelicki’s body was found by his wife in the garage of his Warsaw apartment on Saturday. He was 65. Primary investigations point to suicide as the cause of death. It is expected that prosecutors will decide on an investigation into Petelicki’s death on Monday. After examining the scene of the incident, “the body of General [Petelicki] has been taken to a forensic laboratory, although a post-mortem will probably take place on Monday,” prosecutor Katarzyna Calow-Jaszewska from the Warsaw District Prosecution told the PAP news agency. “He was a tough man, a brilliant soldier and commander,” Colonel Krzysztof Przepiorka, head of the ...