Taswira Za Mama Salma Kikwete Equatorial Guinea
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiteta jambo na Rais wa OAFLA aliyemaliza muda wake Mama Azeb Menawi wakati wa kikao chao huko Malabo nchini Equatorial Guinea tarehe 30.6.2011.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akiwa na Mke wa Mfalme Mswati wa Swaziland wakiangalia vifaa mbalimbali vya asili vinavyotengenezwa na akinamama wa nchini Equatorial Guinea tarehe 30.6.2011.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akijumuika na wake wengine wa marais wakati walipotembela maonyesho ya wajasiriamali wanawake mjini Malabo wakati wakikao cha marais wa AU tarehe 29.6.2011.
Picha na John Lukuwi

Comments
Could you post an English translation for this post.
Sincerely.