SUDANI YA KUSINI YAWA MWANACHAMA WA 193 WA UMOJA WA MATAIFA
Na Mwandishi Maalum
New York
Mkutano Mkuu wa 65 wa Umoja wa Mataifa, jana julai 14 umeipitisha kwa kauli moja
Jamhuri ya Sudani ya Kusini kuwa mwanachama
Tukio hilo la kihistoria lililokuwa na msisimko wa aina yake, lilitanguliwa kwanza kwa
kusomwa kwa tamko maalum lililoandaliwa na
wa Mataifa, tamko liloinadi Sudani ya Kusini ili iweze kuingizwa kuwa mwanachama wa
UM.
Bw. Jeffrey Thamsanqa Rabede, Waziri wa
ndiye aliyesoma Tamko
wanachama wa Umoja wa Mataifa.
Akizungumza mara baada ya Jamhuri ya Sudani ya Kusini kukubaliwa rasmi kuwa
mwanachama wa 193 wa Umoja wa Mataifa, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban
Ki Moon alisema.
“ Katika muda huu na mahali hapa, dunia imekusanyika na kutamka kwa kauli moja,
karibu Sudani ya Kusini. Karibu katika Jumuia ya Umoja wa Mataifa” .
Akaendelea kusema “ kwa pamoja hebu na tuwaambie wananchi wa taifa hili jipya.
Sasa mnakaa miongoni mwetu na tunasimama pamoja nanyi”
Naye Rais wa Mkutano wa Mkuu wa 65 Bw. Joseph Deiss amesema, siku ya julai 14
ilikuwa ni siku muhimu sana kwa Afrika na kwa Jumuia ya Kimataifa
Akaelezea matumaini yake kwamba Sudani ya Kusini itaendeleza juhudi za kuhimiza
amani, ulinzi, maendeleo , urafiki na ushiriiano baina ya mataifa mbalimbali.
Akizungumza kwa niaba ya serikali mpya ya Jamhuri ya Sudani ya Kusini ambayo
ilijipatia uhuru wake rasmi julai
Machar,ambaye ndiye aliyeongoza ujumbe wa chini yake, katika tukio hilo alikuwa na
haya ya kusema.
hilo ambalo baadaye lilipitishwa kwa kauli mmoja na nchi
“Ninajisikia mwenye heshima na fahari kubwa kusimama mbele yenu na kuwasilisha
salamu za serikali yangu na watu wake. Kwa kukubali kwenu kulikaribisha taifa hili
jipya kuwa Mwanachama wa Umoja wa Mataifa.
Akiongea kwa hisia , Makamu hiyo wa Rais alisema, harakati za nchi yake za kudai
uhuru wake zimegharimu maisha ya mamilioni ya watu ya, na kwamba kujitoa kwao
mhanga hakutasahaulika kamwe.
“ Tulipoanza safari yetu hatukujua, licha
wakatu ule, kama tungefikia hatua hii ya leo. Tunachotakiwa sasa ni kusonga mbele ili
tuweze kutimiza mataratijo ya watu wetu”
Makamu huyo wa Rais alitoa wito kwa nchi za Eritrea, Ethiopia na Somalia kutumia
njia za majadiliano ili kumaliza migogoro inayoendelea katika nchi hizo. Aidha aliitaka
jumuia ya kimataifa
ambacho kimekuwa kikiendesha mapigano na vitendo vya kikatili
katika baadhi ya nchi nyingine.
Aidha wawakilishi wa makundi ya nchi za Afrika, Asia, Ulaya Mashariki, Amerika ya
Latini, Ulaya ya Magharibi na nchi nyingine, pamoja na nchi mwenyeji Marekani nao
walitoa hotuba za kulikaribisha taifa hilo jipya.
Baada ya Mkutano Mkuu kukamilisha shughuli hiyo kulifuatiwa shughuli ya kupandisha
bendara ya Taifa ya Jamhuri ya Sudani ya Kusini.
Nchi ya mwisho kujiunga na
Montenegro iliyojiunga June 28 mwaka 2006 na kuwa nchi ya 192 baada ya kupata
uhuru wake kutoka Serbia.

Comments