Rweyunga akimweleza Nape vitu vinavyorushwa ndani ya studio za radio one
Nape akishuhudia 'mapishi' ya vipindi vya EATV/Radio
Mtangazaji wa michezo wa Eatv/Radio Patrick Nyembera(wapili kushoto) akitaka kupata mawili matatu kuhusu sports kutoka kwa Nape alipoingia studio za vituo hivyo
Mhariri wa habari wa ITV, Steven Chuwa(Kushoto) akiwa na Nape Nnauye
Regina Mengi akimuonyesha Nape utendaji katika mitambo ya EATV/Radio
Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi,Nape Nnauye akizungumza na viongoi wa New Habari Corporations Ltd, 6/72011,Kushoto ni Mkurugezi Mtendaji wa kampuni hiyo,Hussein Bashe
Mhariri wa Mttanzania, Manyerere Jackton (kushoto) akizungumza jambo na Nape mwishoni mwa ziara hiyo. kulia ni Mhariri Mtendaji wa kampuni hiyo Deodatus Balile.Picha Zote na Mdau Bashir Nkromo
Comments