BAADHI ya watoto katika kituo cha Elimu kwa watoto yatima Kihumbe cha Mbeya wakipata futari ya pamoja iliyotolewa na Kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania mwishoni hivi juzi
Meneja Huduma za Jamii Kampuni ya Zain Tanzania Bi.Tunu Kavishe, Meneja Biashara wa Zain Mbeya Marwa Patrick na Mkuu wa Kituo cha Elimu kwa watoto yatima Cha Kihumbe cha Mbeya Veronica Mboma wakati wa makabidhiano ya vyakula kwa ajili ya futari wakati wa mwezi wa ramadhani. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki kituoni hapo.

Comments