KOCHA wa Timu ya Taifa ya Netbol, Simone Macknis kutoka Austiria (kushoto) akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere muda mchache tu uliopita kwa ajili ya kuinoa timu hiyo Dar es salaam jana kulia ni Mweka hazina wa (CHANETA) Flora Mwakamere na Mwenyekiti wa chama hicho Anna Bayi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments