SEHEMU Hii ni maarufu sana kwa sasa kwani inamandhari nzuri hata wazawa wa jiji hilo kwa sasa wanaonekana kuvutiwa na kupiga picha , pembeni kuna baadhi ya wapigapicha ambao wanauwezo wa kukutambua ama kukuuliza kama unaweza kuitaji kupigwa picha .Mvuto wa sanamu katika round about hayo ndicho kivutio tosha kabisa , sambamba na usafi uliopo katika jiji hilo linaloendelea kupanuka kila siku ni jiji maarufu sana kwa kitoweo cha samaki nchini
Comments