
Kama unakumbuka sisi wafuatiliaji wa big brother africa elizabeth gupta unamfahamu, bi dada alimtesa sana kijana kutoka nigeria kwa mapenzi lkn mwisho wa siku kanasa kwenye urimbo wa kijana huyo mshindi wa big brother africa aliye nyinyakulia midolali.alimpiga vijikofi ndani y mjengo ule na hata akishikwa bega upiga kelele na vijimnuno nahisi vya mahaba vilishamiri na hata kumuita shotiii kwa ufupi alionao haya sasa ufupi hauonekani bali leo kijana anaubeba mzigo jumla tayari ameshavalisha pete ya uchumba tunangoja shangwe haya sasa usiusemee moyo jamani.

Shemejiiiiii mambo ya dar to naija.Chanzo ni didamitikisiko .blogspot.com
Comments