Mkazi wa Nane Nane , Manispaa ya Morogoro Juma Ramadhani , ambaye ni mlemavu wa viungo akizolewa msobe msobe na Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia ( FFU) akisaidiana na Green Guard wa CCM baada ya kutaka kumwona Rais Jakaya Kikwete kwa nguvu bila kufuata utaratibu , wakati Rais akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni , kwenye uwanja wa Jamhuri wa Mjini hapa mwishoni mwa wiki.
FULANA NJANO
Hamza Charles Komba , Mlemavu wa viungo , Mkazi wa Kata ya Chamwino, ambaye ni mlemavu wa viungo akizolewa msobe msobe na Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia ( FFU) akisaidiana na Green Guard wa CCM baada ya kutaka kumwona Rais Jakaya Kikwete kwa nguvu bila kufuata utaratibu , wakati Rais akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni , kwenye uwanja wa Jamhuri wa Mjini hapa mwishoni mwa wiki.
MLEMAVU WA KIKE
Mwanamke Mlemavu wa viungo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akizolewa msobe msobe na Askari kanzu wakike kwa kusaidiana na Geen Guard wa CCM baada ya kutaka kumwona Rais Jakaya Kikwete kwa nguvu bila kufuata utaratibu wakati Rais alipokuwa akiwahutubia wananchi mkutano wa hadhara wa kampeni , kwenye uwanja wa Jamhuri wa Mjini hapa mwishoni mwa wiki.

Comments