Skip to main content

Posts

Showing posts from September, 2010

Cheki hapa mamboa kama ayaaa Si Poaa

MIDA fulani mara baada ya msosi wako Tango ushika nafasi yake!

Vodacom Miss Tanzania Genevieve Emmanue Tayari Kuelekea China

MKUTANO Mkuu wa Tisa wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), umemchagua Easther Mkwizu akimkabidhi bendera ya taifa Vodacom Miss Tanzania Genevieve Emmanuel tayari kwa safari yake ya kwenda nchini China kushiriki mashindano ya dunia ya Urembo yatakayofanyika Oktoba 31,2010. Mama mzazi wa Miss Tanzania Genevieve wakiwa na aliyekuwa mgeni rasmi Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Chama Cha Wafanyabiashara Sekta Binafsi nchini Ester Mkwizu na baba yake Emmanuel Mpangala. Vodacom Miss Tanzania 2010 Ginevieve Emmanuel ametakiwa kulinda heshima yake pamoja na nchi yake awapo katika mashindano ya Miss World kwa kuwa amepewa dhamana ya kuibeba nchi na Amani ya Tanzania. Nasaha hizo zimetolewa Dar es Salaam leo na Mwenyekiti wa Sekta binafsi, Ester Mkwizu wakati akimkabidhi bendera ya Taifa mrembo huyo tayari kwa safari ya kuelekea China kwenye mashindano ya Dunia ya Urembo ya 'Miss World'. Ginevieve anatarajia kuondoka kesho kuelekea nchini China kwa ajili ya Mashindano ya Miss Worl...

Saturdays at Sanaa Pub Movenpick Djs wa Times Kupotezaa

Every Fridays and Saturdays at Sanaa Pub Movenpick. Times Fm Djz... Dj Spesso,Dj Kobbo & Lil Ommy. Naija,Kwaito,Ragger,Bongo,Hip&Rnb,Pop,Old School and More. Entry-5000/= Come One Come All Yaa!

Lil Wayne Pens 7th Letter To Fans

By Lil Wayne What’z poppin! I hope that you all are well and as always, thank you thank you thank you for the endless love and support. I think by the time you all read this I’ll be 28 years old… feeling ancient in this b#tch! On that note, I do encourage you young people to enjoy your youth. And for the old heads like me, enjoy your life. Everyday! As for me, I’m good. Awaiting freedom patiently. People often ask does the days feel longer now that the time is getting shorter… I say that there’s 24 hours in everyday. But honestly, I can’t fxckin’ wait! Sorry. Anyway, I’m still playing UNO. Still doing pushups and such, by the way, please don’t expect me to ...

Vuguvugu la Vyama vya Siasa Ikiwa ni Wiki ya Sita Sasa

VYAMA mbalimbali vya siasa nchini na wagombea wa nafasi za uongozi kwa tiketi ya vyama hivyo, wapo katika kampeni ya kunadi sera na ilani ya vyama vyao kwa wiki ya sita sasa.Wapiga kura katika maeneo mengi, wamekuwa wakilishwa ahadi za matumaini ya maendeleo na wagombea ili jamii kubwa iweze kuondokana na umaskini walionao. Lengo la wagombea wengi ni kuhakikisha majimbo yao yanakuwa mfano wa kuigwa dhidi ya mengine. Kazi kubwa inayofanywa na wagombea kwa sasa ni kuwashawishi wapiga kura wachague viongozi bora wenye dhamira ya kuharakisha maendeleo. Bw. Mushi Deo (40) ni mgombea udiwani Kata ya Kinondoni kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambaye anasema, dhamira yake ya kuwania nafasi hiyo ni kutimiza ndoto ya matumaini kwa wananchi wa kata hiyo ili kuwa ya mfano.Katika mahojiano na Majira, Bw. Deo anasema kata hiyo inahitaji kiongozi makini anayeweza kumaliza kero za wananchi zilizodumu muda mrefu bila kupatiwa ufumbuzi wa kudumu. “Mwaka 2005 nil...

Superbrands Yatua yaingia Rasmi Nchini

Mkurugenzi wa Ukanda wa Afrika Mashariki Miradi ya Superbrands Bwana Jawad Jaffer, akimkabidhi Cheti cha Superbrands inayothaminisha nembo ambazo zinatambulika na zenye viwango vya ubora wa juu zaidi, Meneja wa Tanzania Distilleries Limited KONYAGI Bw. David Mgwassa Mkurugenzi wa Ukanda wa Afrika Mashariki Miradi ya Superbrands Bwana Jawad Jaffer, akimkabidhi Cheti cha Superbrands inayothaminisha nembo ambazo zinatambulika na zenye viwango vya ubora wa juu zaidi, Mkurugenzi wa Kampuni ya Serengeti Breweries Limited Bw. Ajay Mehta. Mkurugenzi wa Ukanda wa Afrika Mashariki Miradi ya Superbrands Bwana Jawad Jaffer, akimkabidhi cheti cha Superbrands inayothaminisha nembo ambazo zinatambulika na zenye viwango vya ubora wa juu zaidi kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Clouds Media Group Bw. Joseph Kusaga ambaye aliambatana na Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo wa Clouds Media Group Bw. Ruge Mtahaba. Mkurugenzi wa Ukanda wa Afrika Mashariki Miradi ya Superbrands Bwana Jawad Jaffer, akimka...

Rapper Fabolous Rushed To Hospital; Possibly Poisoned

By Dawn Danz and Roman Wolfe Brooklyn rapper Fabolous was rushed to the hospital, after getting sick and almost passing out while driving his vehicle. The rapper took to his popular Twitter page today (September 27) and denied reports that he was involved in a minor car accident last night in New York City . “I'm ok everyone..thanks 4 the concern. I was not in a car accident, but I think i know where it started.. Let me explain,” the rapper Tweeted. “I was drivin yesterday morning & started feeling very sick & felt like I was gon pass out while driving.. I veered off 2 da side of the road.” The pain was so bad, the rapper called ambulance who picked him up from the side of the road,...

Vuguvugu la Kampeni Kawe

tushirikiane kuleta mabadiliko jimbo la kawe. Kwa matukio mengine mbalimbali ya Mgombea Ubunge wa jimbo la Kawe yakiwemo na ya kampeni za Halima Mdee ingia http://www.jimbolakawe.blogspot.com/

Wateja wa Vodacom Kuanza Kuchati Bure kwa Interneti

Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania, imezindua huduma mpya ya Intaneti ambayo itawawezesha wateja wake kuchati kwa intaneti bure. Mkurugenzi wa Uhusiano wa Vodacom Tanzania , Bi Mwamvita Makamba alisema jana kwamba wateja wa Vodacom sasa wanaweza kuchati bure kwenye tovuti za Face Book, the Grid na Vodamail. Alisema Vodacom Tanzania inatoa huduma hiyo kwa lengo la kuwawezesha wateja wake kupata muda wa kuchati zaidi. Alifafanua kwamba hayo yote yatawezekana kwa kutumia mtandao wa 3G ambao una kasi na nguvu kubwa. “Tunapenda wateja wetu watumie mtandao wetu kwa kuwasiliana bure na hivyo kukata kiu yao ya mawasiliano”. Alitoa wito kwa wateja wa Vodacom na Watanzania kwa ujumla kutumia huduma hiyo ya mtandao wa Intaneti. Aliwaomba Watanzania kujiunga na Vodacom ili kupata huduma hiyo bure na hivyo kuwasiliana zaidi. Alisema huduma hiyo itapatikana kwa simu za mkononi na pia kwa Laptop zilizounganishwa na USB Moderm. Tangu kuanzishwa kwak...

Ni Mambo ya Vuguvugu la Siasa Karatu

Ni Pro 24 Djs Ndilo Gumzo Jijini

Wee Dj Joe akiwa amechangamka ndani ya ukumbi wa VIA Arusha . WAPENZI wa muziki jijini, wameomba kuzunguka na kundi la Madj la Pro 24 katika maeneo yote ambayo kundi hilo linatoa burudani ya muziki, ili kukidhi kiu yao. Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika ukumbi Club Maasai, mashabiki hao walisema wameona bora kuzunguka na kundi hilo kwa kuwa limekuwa likiwapa burudani wanayoitaka katika miondoko mbalimbali ya muziki. “Tunapenda kuwanao Madj hawa wakati wote wanapokuwa wakitumbuiza katika kumbi za disko nchini , kwani imekuwa ni vigumu kuwasahau akilini kutokana na wao kujipanga vizuri na kutuporomoshea nyimbo safi ,”walisema mashabiki hao. Kwa sasa Madj hao , tayari wameanza kutoa burudani hiyo katika sehemu mbali mbali jijini Dar es Salaam, na kuvutia mashabiki wengi. Kwa mujibu wa mmoja wa Madj hao, Joseph Namalowe, 'Dj Joe' alisema wamekuwa wakizunguka katika kumbi mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya mashabiki wao waliotapakaa kila kona ya jiji hili. Kundi hilo la Ma...

Details Surrounding Jay-Z's Memoir 'Decoded' Released

By Mike Winslow Details of Jay-Z's highly anticipated memoir Decoded have hit the Internet. According to Billboard.com, the book, which features an image of Andy Warhol's "Rorschach," and will come fully illustrated. The book "decodes" 36 songs from Jay-Z's catalog the rapper explained in an excerpt from the book. "When I first started working on this book, I told my editor that I wanted it to do three important things," Jay-Z said. "The first was to make the case that hip-hop lyrics-not just my lyrics, but those of every great MC-are poetry if you look at them closely enough. The second was I wanted the book to tell a little bit of the st...

Man Pleads Guilty In 2007 Pac Man Jones Shooting

By Roman Wolfe (AllHipHop News) A man has pleaded no contest to attempted murder with use of a deadly weapon in a strip club melee involving NFL player Adam "Pacman" Jones. Arvin Kenti Edwards entered the plea on Tuesday (September 21st) for shooting three people in 2007 outside of Minxx Gentlemen's Club & Lounge, that left one man paralyzed and two others wounded. Edwards now faces four to 10 years since he pleaded out to three charges of attempted murder, three counts of battery with a deadly weapon and being an ex-felon in possession of a firearm. Had Edwards went to trial, he could have been sentenced to up to 186 years in prison. Although maintained his innocence in the shooting, Ed...

Mgombea Mwenza C.C.M Amaliza Kampeni Kigoma

MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib, akisalimiana na wananchi wa Kijiji cha Kanazi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Luganzo

Mafunzo ya MIkono yafikia Kileleni

Makocha wa mpira wa mikono wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu msaidizi wa utamaduni kutoka ubalozi wa Ujerumani Susanne Bohn-Borozan baada ya kumaliza mafunzo yao Dar es salaam leo Katibu msaidizi wa utamaduni kutoka ubalozi wa Ujerumani Suusanne Bohn-Borozan (kushoto) akimkabidhi cheti, Justice Joseph wakati wa kuitimu mafunzo ya mpira wa mikono kwa makocha yaliyomalizika Dar es salaam leo katikati ni Mkuu wa shule ya jitagemee, Meja Michael Mntenjele

Exclusive: Common Extends Olive Branch To Ice Cube

Ice Cube and Common went back and forth over Common's classic song "I Used to Love H.E.R." from his 1994 album Ressurection. The track drew the wrath of Ice Cube and his group Westside Connection, who released the track "Westside Slaughterhouse" in 1995, which featured Mack 10 and W.C. Common then replied the same year, with a scathing diss titled "The B**ch" in Yoo," which was produced by Pete Rock. The beef between the two camps grew so intense that it took a sit down with The Honorable Minister Louis Farrakhan in 1997 - in the aftermath of the unsolved murders of Tupac Shakur and Notorious B.I.G. - to successfully diffuse the mounting tension within Hip-Hop. Since their early days, both rappers have crossed over into mainstream success. Ice Cube has hit big as an actor and director, starring in and producing memorable movies like the Friday franchise of flicks, as well as the Barbershop series...

Tesha Akabidhiwa Computer

Naibu Kamishna Bi Aida Tesha akikabidhi risiti ya Computer kwa watu wa Asasi ya Guluka Kwa Lala. Tume ya kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya , leo imekabidhi msaada wa kompyuta kwa Asasi Guluka kwa Lala katika ofisi za tume zilizopo Upanga jijini Dar es Salaam.

Tesha Akabidhiwa Computer

Naibu Kamishna Bi Aida Tesha akikabidhi risiti ya Computer kwa watu wa Asasi ya Guluka Kwa Lala. Tume ya kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya , leo imekabidhi msaada wa kompyuta kwa Asasi Guluka kwa Lala katika ofisi za tume zilizopo Upanga jijini Dar es Salaam.

Tesha Akabidhiwa Computer

Naibu Kamishna Bi Aida Tesha akikabidhi risiti ya Computer kwa watu wa Asasi ya Guluka Kwa Lala. Tume ya kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya , leo imekabidhi msaada wa kompyuta kwa Asasi Guluka kwa Lala katika ofisi za tume zilizopo Upanga jijini Dar es Salaam.

Kigali

ENEO la Kigali Rwanda hivi karibuni picha imepigwa na mdau Marco Tibasma kuna hali flani hivi kama ya Kilimanjaro Tanzania, tilivu na baridi .

Pata Uhuondo Toka Vodacom

Endelea kupata uhondo kutoka mtandao safi Vodacom Tanzania mdau kwa kutumia fedha kidogo tu kama unavyoona katika tangazo hili.

Tanzania yapata Tuzo ya (MDGS) 2010

TANZANIA imepewa Tuzo ya Umoja wa Mataifa ya Millenium Development Goals (MDGs) 2010 The Global Hearbeat kutokana na mafanikio makubwa iliyoyapata katika maendeleo ya Elimu katika sherehe zilizofanyiaka kwenye ukumbi wa Waldorf Astoria Grand Ballroom jijini New York Septemba 19, 2010. Pichani Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Balozi wa Tanzania kwenye umoja wa mataifa, Ombeni Sefue wakiwa wameshika tuzo hiyo baada ya kukabidhiwa: . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

SANAA WIKI HII

MBUNIFU wa mavazi maarufu nchini,Mustapha Hassanally akiwasilisha mada yake kuhusu Soko la Sanaa ya Ubunifu wa Mavazi Tanzania na Changamoto zinazowakabili. Baadhi ya wadau wa sanaa wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa leo kwenye Jukwaa la Sanaa.