Msanii anayefanya muziki wa Mashahiri jukwaani ,Mjomba Mpoto ametikisa viwanja vya , Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam , akiimba na bendi yake Mpya inayoitwa 'Mjomba Bendi' inayowakilishwa na jumla ya waimbaji 12 jukwaani , anekemea Uzembe wa Madereva Barabarani , wimbo aliouimba unaitwa 'Epuka mwendokasi kabla haujatuua' ambapo ndio kauri mbiu ya Wiki ya nenda Salaama kwa mwaka huu. Kwa mujibu wa Meneja wa Bendi hiyo Kelvin Ayoub ambaye ni mfanya kazi wa Kampuni ya (World Bank ), akiwa kwenye kitengo cha IT amesema viwanjani hapo kuwa kwa sasa bendi hiyo inajipanga ilikuja na nyimbo zitakazokuwa kwenye ujio wao wa albamu hapo baadaye , ambapo ametaja baadhi ya majina ya ya wanamuziki katika bendi hiyo kuwa ni Ismail ,Nuruel Mbowe Mery ambaye alikuwa Bomgo Star Seach mwaka jana na Mpoti mwenyewe.Akasema nyimbo zilizoibwa leo mbele ya mgeni rasimi Mh Mkuu wa Wilaya ya Ilala Evans Barama zimefanyiwa mazoezi kwa takribani siku nne tu, naakaipongeza bendi yake hiyo kwa kuimb...