KAMPUNI ya Uwekezaji kutoka Ujerumani Botch kutoka Ujerumani
inatazamiwa kuinua pato la Taifa inchini na hivyo taasisi mbalimbali hapa nchini

zimetakiwa kuchangamkia fursa kupata manufaa.
Kuja kwa uwekezaji kumetajwa utawezesha kujengwa kwa karakana ya
kurepea magari hivyo kutoa fursa na kipaombele kwa vijana wa kitanzani
waliosomea fani mbalimbali ikiwemo vyuo vya ufundi stadi VETA kupata
ajira na utaalamu wa kiwango cha juu zaidi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Angela Kairuki amezitaka
taasisi hapa nchini kutumia fursa ya ujio wa kampuni hiyo ya Botch.
Hayo yalisemwa na Waziri huyo mwenye dhamana juzi jijini Dar es Salaam katika kikao cha pamoja na wawekezaji alisema kuwa wawekezaji hao wako tayari kuwekeza kwenye maeneo mengi ikiwemo
vifaa vya majumbani, Friji na hita pamoja na vifaa vya magari, ujenzi na mashine za mawasiliano na usalama vitakavyouzwa soko landani na nje ya nchini.
Alisema kuwa ujio huo tayari imewekeza katika nchi nyingi Afrika
na endapo watafungua Kiwanda hapa Tanzania wataweza kuzalisha hita za
kuchemshia maji zaidi ya elfu 20 kwa mwaka na kwa ushirikiano wa nchi za
Afrika Mashariki kutakuwa na soko la magari zaidi ya laki sita hadi
milioni moja.
Katika hatua hiyo tayari imetajwa kuwa migodi mingi hapa nchini
inahitaji mashine mbalimbali kwa ajili uchimbaji hivyo Ujerumani
ina historia ya utafiti wa madini hapa nchini ambao utawezesha
sekta hiyo kukua zaidi.
Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa kituo cha Uwekezaji TIC
John Mnali amesema kuwa kampuni hiyo ni kubwa na imejikita kwenye sekta
nyingi hivyo wakianzisha kampuni yao ya kwanza watapewa huduma zote muhimu
ili wawe na imani na Tanzania katika sekta hiyo na kuongeza Uwekezaji.
Naye Bi Nzeyimana Dyegula kutoka Shirika la reli amesema ujio wa kampuni ya
Botch toka ujerumani utawasaidia kuboresha mfumo wa mawasiliano kati ya
kituo na kituo kwenye ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR.

Comments