Skip to main content

Balozi Seif Ali Iddi kufungua Mashindano ya Michezo ya Majeshi Jumamosi



Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Mashindano  ya Michezo ya Majeshi yatakayoanza kuanzia Februari 23 hadi Machi 8 mwaka huu katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Hayo yamesemwa jana jijini humo na Menyekiti wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) Brigedia Jenerali, Suleiman Mzee ambapo amesema michezo hiyo itashirikisha vikosi kutoka kanda saba za majeshi likiwemo Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jeshi la Uhamiaji, Jeshi la Polisi nchini, Magereza, Jeshi la Kujenga Taifa(JKT) na Zimamoto na Uokoaji.
“ Mashindano hufanyika kila mwaka tumewaalika wageni wa heshima tunatarajia Balozi Seif Ali Idd kutufungulia mashindano Uwanja wa Uhuru,” amesema Brigedia Jenerali Mzee.
Amebainisha kuwa mashindano hayo yatashirikisha michezo mbalimbali ikiwemo ya mpira wa pete, mpira wa miguu, mpira mikono wanawake na wanaume, Ndondi, mpira wa wavu, kikapu, kulenga shabaha wanawake na wanaume pamoja na riadha.
Amesisitiza kuwa michezo hiyo itafungwa na Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi na kwamba lengo la mashindano ni kuendeleza elimu ya viungo na utimamu ndani ya jeshi, kuinua vipaji vya kwa wanamichezo pamoja na kuandaa mashindano ya ulinzi na uslalama.
Amefafanua kuwa baada ya Waziri Dkt. Mwinyi jioni kutakuwa na hafla ambapo Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe.
Brigedia Jenerali Mzee amesema Kauli mbiu ya michezo hiyo kwa mwaka inasema Michezo ni kazi na mshikamano na kuwaomba wananchi wa Dar na mikoa ya jirani kujitokeza kwa wingi kushuhudia mashindano hayo.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.