Lufingo Apeta katika tasnia ya filamu nchini September 04, 2015 MSANII anayeendelea kufanya kweli katika tasnia ya filamu nchini Lufingo Exaud ambaye kwa sasa ameingiza sokoni filamu ya'Nani Alaumiwe' amesema anatarajai kufanya kazi na baadhi ya wasanii wenye majina makubwa.Lufingo ambaye ameingiza sokoni pia filamu nne zingine masoko ya ya filamu nimoja ya changamoto kwa wasanii wengi nchini.“Kwa najipanga zaidi kuwa naingiza fialmu zaidi tatu katika kipindi kifupi , nilianza na wasanii wengi chipikizi lakini kwa sasa wasanii wakuwa wapokatika fialmu zangu ,”alisema.Lufingo alisema kampuni yake ya Pamoja Films Production imeanza kuwatumia wasanii wakubwa kutokana na kampuni yake kwa sasa kuwa imejitangaza.Alisema licha ya kuwa nimefanikiwa kujenga ajira kwa wasanii hao chipukizi amekuwa pia akifanikiwa kushirikiana na nyota mkubwa katika anga za uchekeshaji na filamu King Majuto ambapo kwa sasa anataka kupanuka zaidi na kufanya kazi na wasanii wengine.Kwa sasa msanii huyo ameingiza sokoni filamu zingine kama‘Kijiweni’,‘Tanga Raha’ambapo wasanii kama kingwendu na king Majuto wameonekana kuuvaa uhusika . Share Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Share Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Comments
Comments