MWANAMUZIKI nyota kwenye tasnia ya muziki wa nchini Christian Bell amesema ngoma yake mpya na Ally Kiba
ipombioni kutoka hivi karibuni.
Bella ameiambia gazeti hili kuwa kuwa mashabiki wake sasa wategemee mambo mazuri kwani ujio huo nimoja mafanikio makubwa mengine kwa nyota yake kuzidi kukosha mashabiki.
"Najitaidi kukosha mashabiki kwa kupakuwa vibao vya mapenzi kwani mapenzi ndio yanafanya dunia ipwepo,"alisema .
Bella alisema juhudi zake katika kujituma ndio ndizo zinazochochea nyota yake ing'ale nakuwataka wenye matarajio ya kufanya vyema kama anavyofanya yeye ufanisi katika kujituma.
Kwa mujibu wa meneja wa bendi hiyo Juma Abajaro amedodosa kuwa nyota huyo akiwa na bendi yake ya Malaika Bendi imejipanga kutambulisha wimbo wa'Amrudi'
katika jiji la Mwanza.
Alisema Ijumaa ya Septemba 11 Bella atatoa shoo ya nguvukatika ukumbi wa Villa Park jiji Mwanza ambapo septemba 12 atafanya shoo ya pili katika ukumbi wa Mamyz Grand Resort nyegezi Mkolani ambapo Septemba 13 atatumbuiza shoo ya mwisho katika Bonanza katika ukumbi wa Villa Park jijini humo.
Nyota huyo ametaja jina la ujio wake mpya akiwa na Ally Kiba kuwa utakuwa na ujumbe wa mapenzi na wimbo utafahamika kwa jina la 'Nagalamia' .

Comments