"Tuufyeke
uso wa haya, pindi ambapo tunatengeneza "listi" ya watu wa maana katika
maisha yetu, kwani katika kila kundi kubwaaa tunalofahamu, kuna wale
kadhaa tu ambao watakuwa makini kujenga faida naasi, wengine woote
watakuwa mizigo inayotupunguzia kasi katika safari zetu za mafanikio"
nukuu kutoka kwa afisa mhamasishaji mkuu bwana Steve harvey..je??
Umeandika listi lakini??
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Comments