Kama 50 Cent alivyojaribu kufanya na bondia Floyd Mayweather, sasa
rapa Jay z naye ameanza kusimamia mapambano ya masumbwi na mabondia.
Kupitia kampuni yake ya kusimamia maswala ya michezo ya Roc Nation
Sports Jay z amesimamia pambano lake la kwanza.
Jay z kama promota amesimamia pambano la Dusty Hernandez “Harisson”
alilocheza na Tommy Rainone. Harisson anarekodi nzuri ya kutoshindwa
pambano lolote mpaka sasa. Hili ni pambano la kwanza kusimamiwa na Jayz,
kuna mengine nane yanakuna na yatakuwa chini ya Roc Nation Sports.
Comments