Msanii Nasib Abdul ‘Diamond’ amechaguliwa kuwa mmoja wa wasanii
watakaotumbuiza kwenye hafla ya utoaji tuzo za mwanasoka bora Afrika
2014.
Diamond atatumbuiza katika tuzo hizo ambazo wachezaji 25 nyota barani
Afrika wamechaguliwa kugombea tuzo hizo. Hafla hiyo itafanyika Januari
8, 2015 jijini Lagos Nigeria.
Mwanasoka Bora, Yaya Toure raia wa Ivory anayeitumikia Manchester City ya England ni kati ya wachezaji wanaowania tuzo hiyo.
Wanaowania tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika:
- Ahmed Musa (Nigeria, CSKA Moscow)
- Asamoah Gyan (Ghana, Al Ain)
- Dame N’doye (Senegal, Lokomotiv Moscow)
- Emmanuel Adebayor (Togo, Tottenham)
- Eric Maxim Choupo-Moting (Cameroon, Schalke 04)
- Fakhreddine Ben Youssef (Tunisia, CS Sfaxien)
- Ferdjani Sassi (Tunisia, CS Sfaxien)
- Yao Kouassi Gervais ‘Gervinho’ (Cote d’Ivoire, AS Roma)
- Islam Slimani (Algeria, Sporting Lisbon)
- Kwadwo Asamoah (Ghana, Juventus)
- Mehdi Benatia (Morocco, Bayern Munich)
- Mohamed El Neny (Egypt, Basel)
- Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon, Borussia Dortmund)
- Raïs M’Bolhi (Algeria, Philadelphia Union)
- Sadio Mané (Senegal, Southampton)
- Seydou Kieta (Mali, As Roma)
- Sofiane Feghouli (Algeria, Valencia)
- Stephane Mbia (Cameroon, Sevilla)
- Thulani Serero (South Africa, Ajax)
- Vincent Aboubakar (Cameroon, Porto)
- Vincent Enyeama (Nigeria, Lille)
- Wilfried Bony (Cote d’Ivoire, Swansea)
- Yacine Brahimi (Algeria, Porto)
- Yannick Bolasie (DR Congo, Crystal Palace)
- Yaya Toure (Cote d’Ivoire, Man City)
Wanaowania tuzo za Mwanasoka Bora Afrika( Kwa wachezaji wanaocheza Afrika)
- Amr Gamal (Egypt, Al Ahly)
- Abdelrahman Fetori (Libya, Ahly Benghazi)
- Bernard Parker (South Africa, Kaizer Chiefs)
- Bongani Ndulula (South Africa, Amazulu)
- Akram Djahnit (Algeria, ES Setif)
- Ejike Uzoenyi (Nigeria, Enugu Rangers)
- El Hedi Belamieri (Algeria, ES Setif)
- Fakhereddine Ben Youssef (Tunisia, CS Sfaxien)
- Ferdjani Sassi (Tunisia, CS Sfaxien)
- Firmin Mubel Ndombe (DR Congo, AS Vita)
- Geoffrey Massa (Uganda, Pretoria University)
- Jean Kasusula (DR Congo, TP Mazembe)
- Kader Bidimbou (Congo, AC Leopards)
- Lema Mabidi (DR Congo, As Vita)
- Mudathir Al Taieb (Sudan, Al Hilal)
- Roger Assalé (Cote d’Ivoire, Sewe Sport)
- Senzo Meyiwa (South Africa, Orlando Pirates)
- Solomon Asante (Ghana, TP Mazembe)
- Souleymane Moussa (Cameroon, Coton Sport)
- Yunus Sentamu (Uganda, AS Vita)
Comments