Kiongozi wa kundi la Ruff Ryders DMX Ametangaza rasmi
ujio wa album yake ya nane. DMX Anatoa album iliyopewa jina Redemption
of the Beast mnamo January 13, 2015.
Info nilizopata mpaka sasa ni kwamba cd itakuwa na nyimbo 16 na
wasanii walioshirikishwa ni pamoja na Freeway na msanii mpya Jannyce.
Mitaa inazungumzia album mpya ya DMX Kwa kuifananisha na album yake ya kwanza iliyotoka mwaka 1998 “It’s Dark and Hell Is Hot” ambayo ilishika namba moja kwenye chati za album ndani ya wiki moja tu. Hii ndio orodha ya nyimbo kwenye cd hii mpya.

- Spit That Shit
- Built Like A Bitch
- On and On
- Get Up and Try Again
- Solid Ft. Rampage
- I’m Gonna Win
- It’s A Problem
- It’s Goin’ Down
- Shout It
- One More Night
- 56 Bars
- Where You Been Ft. Freeway
- Right or Wrong Ft. Jannyce
- Gonna Get Mine
- We Gonna Make It
- Love That Bitch Ft. Jannyce
Comments