MCHORAJI mahiri wa michoro Marco Tibasima akiwa
ameketi maskani yake Kinondoni ambapo alikutwa na
blog hii .
Tibasima ambaye ni mchoraji mwenye mafanikio , jamaa ni mfano mzruri wa guigwa kutokana na mafanikio aliyoyapata
tangu aanze fani hiyo ya uchoraji nimengi sana ambayo ameisha yafanya katika jamii.
Pia anamiliki Jarida la Bantu ila tu jamaa yuko bize sana
hatua aliyopita mpaka sasa nimmoja wa watu wa mfanomzuri wa kuiga.
Alianza hatua ya uchoraji akiwa jijini Mwanza na kikubwa
anaukaribu Mkubwa sana na Mzee Bawj , nimtu mwenye umaarufu kupitia kazi zake katika sanaa ya michoro nimtu
wa kufikiria anakotoka na anako kwenda blog iliongea naye mengi tu, siku ya sikukuu ya Eid E l Hajj hakiwa home kwake na familia yake.
Comments
Namtafuta huyu Ndugu Marco - ni kwa kazi ya sanaa kwa ajili ya mradi wa haki za watoto Zanzibar. Naweza kupata namba yake ya simu au anipigie 0754 444 282?
Asante
Patrick Ngowi
Save the Children