MAPAMBANO ya ndondi yatakayofanyika katika Ukumbi wa Umoja Club , MwananyamalaMapinduzi -KINONDONI leo.
Cruiserweight Ramandhani Kido Vs Kaminja Ramadhani.
Light middle Lucas Benard Vs Mbwana Ally Mohd (Van Dame).
Light Midd weght Ibrahim 'Big Right' Vs PaulMsela.
Light Welter Weight Jafary Majia (Mr Nice) Vs Ibrahim Amedeus (Star Boy).
Light Weight Mussa (Sunga Boy) Vs Josefat John.
Fly Weight Becka Mackenzie (Mdachi) Vs Athmani Hsasan.
Light Fly Weight Sadat Miyeyusho Vs Ali Hassan.
Said (Chaku Master) V/s Daud Mhunzi.
Jana Rais wa Shirikisho la Masumbwi Tanzania (TST), pichani katikati Emmanuel Mlundwa aliongozana na baadhi ya mabondia kwenda kupima HIV , Angaza Mwananyamala.
Comments