Skip to main content

Jese Mtambo na Chid Mlitoa shoo Bab Kubwa 'Gang Star' Alimkumbatia Chid alikubali.



BUSTA kweli sana tu, ulikamua kinoma ulikuwa ni wakati mpya wa usiku wa jumamosi , umetuacha ,
sijui tu , kulikuwa na mengi ya kuchukua kubolesha namna ya kudili na jukwaa .
Sasa ni fundisho Jose Mtambo
toka kigamboni uliwakilisha vema michano ya Hip Hop wana Hip Hop wengi uliwagusa wewe na mchizi wa Ilala babake mlitisha shoo zenu jukwaani , mliibeba shoo yaani katika
Hip Hop pia ni ngumu sana kuwasahau du.

Comments